Na Shakoor Jongo
MASTAA wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani) na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Amani lina mchapo mzima.
Tukio hilo bichi kabisa lilitokea Juni 16, mwaka huu, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo chanzo kinasema, wadada hao walikuwa wakirekodi sinema ambayo haijajulikana jina lake.
“Ni kweli walikuwa wakirekodi filamu, lakini kuna muda walizinguana ila watu wanasema bado wanakasirikiana kutokana na ile ishu ya kunyang’anyana mwanaume.
Joti alipotakiwa kuzungumzia ishu hiyo, alikiri kutokea lakini kwenye kurekodi filamu huku akikataa kufafanua.
“We’ jua kuwa ilikuwa filamu, si ugomvi serious,” alisema Joti.
Lulu hakupatikana kuzungumzia ishu hiyo lakini Husna alipopatikana alisema: “Tulitofautiana kikawaida tu kama wanawake lakini hatukufika kwenye mambo ya kupigana.”
MASTAA wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani) na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Amani lina mchapo mzima.
Diva wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’
Kabla ya tukio hilo, awali wawili hao waliwahi kuingia kwenye bifu
baada ya kudaiwa walikuwa wanamgombea pedeshee mmoja wa mjini, kila
mmoja akijipa uhalali wa kumilikiwa.Tukio hilo bichi kabisa lilitokea Juni 16, mwaka huu, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo chanzo kinasema, wadada hao walikuwa wakirekodi sinema ambayo haijajulikana jina lake.
“Ni kweli walikuwa wakirekodi filamu, lakini kuna muda walizinguana ila watu wanasema bado wanakasirikiana kutokana na ile ishu ya kunyang’anyana mwanaume.
Mshiriki wa Miss Tanzania, 2011/2012 Husna Maulid
“Joti (Lucas Mhuvile – yule komediani wa Kundi la Orijino Komedi)
alikuwepo eneo la tukio na ndiye aliyewapatanisha,” kilipasha chanzo
hicho.Joti alipotakiwa kuzungumzia ishu hiyo, alikiri kutokea lakini kwenye kurekodi filamu huku akikataa kufafanua.
“We’ jua kuwa ilikuwa filamu, si ugomvi serious,” alisema Joti.
Lulu hakupatikana kuzungumzia ishu hiyo lakini Husna alipopatikana alisema: “Tulitofautiana kikawaida tu kama wanawake lakini hatukufika kwenye mambo ya kupigana.”
chanzo: gpl
Post a Comment