Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dr. Eng. Binilith
Satano Mahenge wa (kwanza kushoto) akizungumza na Balozi wa Ujerumani
Mr. Hans Koeppel alipomtembelea ofisini kwakwe mtaa wa luthuli jijini
Dar es Salaam, kuhusu mkutano wa mabadiliko ya tabianchi unaotarajia
kufanyika julai mwaka huu mjini Berlin Ujerumani.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira Dr. Eng. Binilith
Satano Mahenge (wa kwanza kushoto), Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa
Rais Mh. Ummy Mwalimu (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Mazingira Bw.
Julius Ningu (wa kwanza kulia) wakiwa pamoja na Balozi wa Ujerumani Mr.
Hans Koeppel kwa ajili ya Mazungumzo jijini Dar es Salaam.
chanzo: jiachie blog
Post a Comment