Loading...
Home »
Unlabelled »
MSANII RECHO ACHAFUA HALI YA HEWA MTANDAONI .. SOMA HAPA UPATE MENGI
hivi
ni kwamba mastaa wakihisi kuwa hawaongelewi njia pekee ya kurudisha
umaarufu ni kutupia picha zisizokuwa na maadili mtandaoni?
hivi
punde msanii Recho ameweka picha ambazo kiukweli hazina maadili kwani
zinaacha sehemu kubwa ya mwili wake ukiwa haujafunikwa kabisa, picha
hizo ambazo mapaja yote yako nje zimepondwa sana na mashabiki ambao
wameonyesha kutokubaliana nazo kabisa picha hizo
on Sunday, June 29, 2014
Post a Comment