Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWANAMUZIKI MAARUFU AFARIKI DUNIA

 

Mwanamuziki wa Nigeria aka Naija Cynthia Akudo Jonah maarufu kwa jina la Cynthomania or Ada Owerri amefariki dunia.
Cynthomania hivi karibuni ameachia ngoma yake mpya 'Ukwu Ajebutter' na akiwa anajiandaa kutoa albamu yake ya kwanza umauti ukamfika. Rest In Peace Ada na kwa habari zaidi utazipata hapa hapa
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top