Katika shangwe za GK siku ya leo, tunakupa picha chache kutoka Kigali
nchini Rwanda, ambako mmoja kati ya waimbaji wa muda mrefu wa kundi la
Ambassadors of Christ a.k.a Kwetu Pazuri aitwaye Furaha Sandrine ,
jumapili iliyopita aliutambulisha rasmi ubavu wake uitwao Ngabo Karangwa
Tony katika sherehe ya kulipiwa mahari na kuvishwa pete ya uchumba
rasmi iliyofanyika nyumbani kwao maeneo ya Gikondo jijini Kigali,
ambapo harusi inatarajiwa kufanyika tarehe 6/7/2014 katika kanisa la
Wasabato la Gisenyi na kufuatiwa na shere ya kuwapongeza itakayofanyika
katika pwani ya Lac Kivu beach.
Angalia picha za tukio kwa uchache kama GK ilivyofanikiwa kuzipata.
Angalia picha za tukio kwa uchache kama GK ilivyofanikiwa kuzipata.
Furaha akivishwa pete ya uchumba. |
Baada ya pete ni matabasamu tuuu. |
Pete ikionyeshwa na zawadi mkononi akikamata. |
Akipokea zawadi kutoka kwa mtarajiwa mumewe.©Kj Marcello |
Furaha mwenye Furaha. |
Furaha akiwa na marafiki zake akiwemo Kelly aliyesimama nyuma, mwimbaji wa Ambassadors. |
Post a Comment