Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kiikwete akifungua Semina ya Africa Rural Commodity
Exchange iliyofanyika katika ukumbi wa St.Gasper mjini Dodoma leo.Wapili
kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na watatu kushoto
ni Mtaalamu wa Masoko ya mitaji kutoka Ethiopia Dkt.Eleni Gabre Madhin.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya
Africa Rural Commodity exchange iliyofanyika katika ukumbi wa St.Gasper
mjini Dodoma leo, Semina hiyo yenye maudhui Toward a vibrant Tanzania
Commodity Exchange ilihudhuriwa na Mawaziri na makatibu wakuu.Semina
hiyo iliendeshwa na mtaalamu wa masoko ya mitaji kutoka Ethiopia
Dr.Eleni Gabre Madhin.Kushoto ni Waziri mkuu Mizengo Pinda.Picha na
Freddy Maro
Post a Comment