Baadhi ya mastaa wa Bongo Muvi wakiwasili eneo la tukio, Wanachama wa CCM na watu wengine Wakiingia eneo hilo huku wakiwa wameongozana na Steve Nyerere
Kundi la Makomandoo la waimbaji Bongofleva wakifanya yao
MWENYEKITI wa
kundi la Bongo Muvi Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ jana alisimikwa kuwa
kamanda wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi ‘CCM’ tawi la Bwawani.
tukio
la kusimikwa kwa mwenyekiti huyo lilikutanisha mastaa kibao wa Bongo
Muvi pamoja na wananchi mbalimbali waishio maeneo hayo.
(Picha habari: Shakoor Jongo /GPL.)
Post a Comment