Hivi
karibuni kuna baadhi ya picha zimekua zikisambaa kwa kasi zikimuonyesha
staa ambaye ni mdogo kiumri lakini anafanya makubwa katika tasnia ya
filamu, picha hizo zinamwonyesha staa huyo
akiwa katika chumba ambacho kinaonekana ni gest, hata hivyo
haijajulikana kama ni kipande cha filamu au vip, mpaka tunaingia
mitamboni jitihada za kumpata LULU hili amalize utata ziligonga mwamba
Rais Samia Afanya Uteuzi wa Majaji na Viongozi
55 minutes ago
Post a Comment