Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MHE.PINDA NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

PG4A4045Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiteta na Mbunge wa Mbinga Magharibi Cpt. John Komba, Bungeni Mjini Dodoma Juni 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PG4A4105 1 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge Samuel Sita wa Urambo Masharikiambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki (katikati) na  Mbunge wa Tabora mjini Aden Rage kwenye viwanja vya Bunge mjini  Dodoma Juni 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A4148Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akitambulishwa na Mbunge wa  Hanang na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary (kulia) kwa Wananchi kutoka jimbo hilo waliotembelea Bunge mjini Dodoma Junu 27 kwa mwaliko wa mbunge wao. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)PG4A4179Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma juni 27, 2014. Kutoka kushoto ni Martha Mlata wa Viti Maalum,Tundu Lissu wa Singida Masharikina na Felister Bura wa Viti Maalum. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top