Habari
mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza
tofauti zao zilizotokana na ‘beef’ lao lilichukua week kibao sasa. Kwa
mujibu wa taarifa mpya mitandaoni ni kuwa mastaa hao wawili ambao
waliwahi kuwa mashosti wakubwa walimaliza ‘beef’ lao katika sherehe ya
kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers anayeitwa
Imelda Mtema.
Katika
tukio hilo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye
kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae Wema Sepetu kupitia
Instagram ame-share picha hiyo hapo juu akiwa na kina Kajala na kuandika
"nawapenda sana hawa hapa..jana hiyo kwa kibaokata cha Imelda Mtema"
on Sunday, June 29, 2014
Post a Comment