Katika siku
za hivi karibuni nchini Kenya kumekuwa kukiripotiwa matukio ya mabomu
yakihusishwa na kikundi cha ujangili cha Alshababi kulipua mabomu katika
miji mbalimbali ya nchini kenya.
Hivi karibuni polisi wa nchini kenya wamefanikiwa kuwa uwa watu
wawili (pichani) wanasadikiwa kuwa walitumwana kikundi hicho kuja
kupandikiza bomu katika moja ya miji ya nchini kenya lakin zoezi hilo
halikufanikiwa kwakuwa raia wema waliweza kuripoti polisi na kufanikiwa
kuwa piga risasi kabla ya kutega bomu hilo.
Post a Comment