Jux ndie Msanii
anaeongoza kwenye uvaaji wa Brand kali maarufu na zinampendeza, wapo
wengi ambao wanavaa vizuri lakini Jux kwa Tanzania ni namba moja ukitaka
kujua hilo jaribu kufatilia kwa makini utapata jibu. Hizi ni baadhi ya Picha zikimuonesha Jux katika muonekano tofauti tofauti.
Loading...
Post a Comment