Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WEMA SEPETU AFICHUA SIRI NZITO YA MILLARD AYO....SOMA HAPA

collage
Watu wengi sana watakuwawanamfahamu mkali huyu wa kuwakilisha habari kali za nguvu kwa watu wake kupitia kipindi chake cha ClaoudsFm cha Amplifaya, Milard Ayo amezidi kujipatia sifa kwa uwezo wake na kwa staili yake ya pekeeya kufikisha habari, ila wengi walikuwa hawafahamu kile apendacho, mbali na kuwa hodari kama mtangazaji Milard Ayo hupenda sana nyumba, anandoto siku aje kusimamisha mjengo wake wa nguvu hapa town. Ni siri aliyoifichua Mrs Dangote aka Wema Sepetu wakati akimpa shavu ili watu wazidi kumpigia kura kuchagua#AMPLIFAYA kama kipindi cha Radio kinachopendwa.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top