Gari aina ya Range Rover lenye likiwa limeharibika vibaya baada a kugongana uso kwa uso na gari dogo |
Mifuko maalumu ya kuzuia abiria asiumie wakati wa ajali ikiwa imefumuka baada ya ajali . |
Pikipiki ikiwa chini ya gari aina ya Range Rover baada ya kugongwa. |
Baadhi ya mashuhuda wa ajali hiyo wakitizama pikipiki iliyokuwa chini ya gari hiyo |
Hivi ndivyo pikipiki inavyoonekana ikiwa chini gari. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.
Post a Comment