Mwanzoni
mwa utengenezwaji wa video hii kulitoka stori juu ya ukataaji
kuhudhuria kwa Ommy Dimpoz ambaye alitoa sababu ya kutokua na nguo za
kushoot video hiyo,video imemalizika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Imetengenezwa na Director Kenya anaitwa Kevin Bosco na kampuni yake
inaitwa Decent Video,upande wa audio imefanyika hapa hapa Bongo na
Producer ni Tuddy Thomas,ndani wameshirikishwa Diamond Platnumz na Ommy
Dimpoz.
Hizi ni baadhi ya picha hizo.
millard ayo
Post a Comment