Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BODABODA DAR YAICHARUKIA VIKALI SERIKALI .... YATOA TAMKO KALI LA KUZUIWA KUINGIA MJINI

 


Baadhi ya viongozi na  wanachama wa bodaboda wakiwa katika mazungumzo na wanahabari.
Katibu Bw.Daudi Hauliani akisoma tamko mbele ya waandishi wa habari.Mwenyekiti Bw. Said Chenja akizungumzia msimamo wao.Waandishi wa habari wakisikiliza tamko la chama cha madereva wa bodaboda.Mjumbe wa kamati ya wanabodaboda, Bw. Oscar akisisitiza jambo kwa wanahabari.Kamati ya bodaboda ikijadili jambo nje ya Ukumbi wa Habari Maelezo- Posta.

Na Gabriel Ng’osha/GPL
Kamati ya madereva wa bodaboda jijini Dar es Salaam iliyokuwa na wajumbe kadhaa, leo imefanya mkutano na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari katika Ukumbi wa Habari Maelezo-Posta ambapo umetoa tamko la kuitaka serikali kuwaruhusu kuingia katikati ya jiji vinginevyo madereva wote wataandamana.
GPL
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top