EMMANUEL JOSEPH
MBUZA , Mhitimu wa sangu High school(2007), aliewahi kua Mfanyakazi wa Mbeya FM
na generation FM, LLB & Masters ya sheria Tumain university, Kijana
mjasiliamali na mpiganaji, ambaye alikuwa Katibu wa Siasa Itikadi na Uenezi CCM wilaya ya Mbeya Mjini, Mkurugenzi wa Sweet fm Radio, Sweet
Televission na Action Mart Group of companies (Mzaliwa wa mbeya aliekua
anafanya biashara zake jijini Dar es salaam) Amefariki dunia usiku wa kuamkia
leo, Mipango ya mazishi inafanyika kwa kaka yake tabata-Dar es salaam.
Tutaendelea kuwapa Taarifa.
Post a Comment