Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DIAMOND AONESHA KUFURU YA FEDHA BETHIDEI YA MAMA YAKE MZAZI

 

               
Mama Diamond Bi Sanura akimlisha keki 'mkwewe' Wema Sepetu katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika jana.
Keki iliyotolewa oda na Diamond iliyoandikwa ujumbe wake maalum.
Mama Diamond akikata keki maalum jana.

Profesa Jay akiwasili eneo la tukio huku akikaribishwa na meneja wa Diamond,  Babu Tale na wenzake

Baadhi ya waumini wa Kiislamu wakiswali sala ya magharibi kabla hawajaanza kufuturu.
Said Fella 'Mkubwa'akiongoza wageni waalikwa kwenda kuchukuwa futari, nyuma yake ni Madee
Madee na Fela (kulia) wakifuturu.
Wema na Aunty Ezekiel wakimimina juisi kwenye glasi kwa ajili ya kuwapelekea watu wanywe.
Dada wa Diamond Esma akimkumbatia wifi yake, Wema Sepetu.

Mfanyabiashara maarufu Dotnata (kushoto) akiwa na ndugu yake wakifuturu.
Mtangazaji wa Star Tv,  Sauda Mwilima naye akifuturu.
Wema na Lady Naa.
Mama Diamond akilia huku kichwa kikiwa juu ya gari aliyopewa zawadi na mwanaye.
Kilio kikiendelea.
Mama Diamond akiwa ndani ya gari aliyopewa zawadi.(PICHA: MUSA MATEJA NA SHAKOOR JONGO/GPL)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top