Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMA AKUTWA AMELALA KWENYE KABATI LA CHIPS NA MISHIKAKI

 


"Dada akutwa kalala kwenye kabati ya chips maeneo ya Yombo Vituka leo asubuhi. Muuza chips alifunga kabati na kufunga eneo lake la biashara kwa kofuli kisha akaenda kulala. Asubuhi alipofungua ndipo akamkuta mwanadada amelala juu ya chips na mishkaki akiwa hajitambui. Bado haijajulikana aliingiaje maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa.!"
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top