Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

EXCLUSIVE PICHA ZA MJENGO PAMOJA NA MAGARI ANAYOMILIKI PROFESA JAY, DAH JAMAA YUKO MBALI, TAZAMA HAPA


 Mjengo mpya wa mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Profesa Jay.
 hongera sana kwa hatua uliyofikia..
 Inapendeza eeeh!
  Nyumba iko MBEZI ya KIMARA jijini DAR ES SALAAM .
Profesa JAY alihamia rasmi kwenye hii nyumba  mwaka huu na anasema kitu pekee kikubwa kinachokosekana kwenye nyumba yake  ni MKE....Asilimia mia moja ya hii nyumba imejengwa kwa pesa zilizotokana NA shughuli zake za muziki
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top