Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HATIMAYE WANAUME WAANZA KUSIMAMA NA KUMTETEA MUME WA FLORA MBASHA WAMUOGESHA MVUA YA MATUSI MTETEZI WA FLORA MBASHA JOYCE KIRIA LIVE!!

 


Stori: Paparazi Wetu
SOO! Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria amenagwa na watu mbalimbali mitandaoni kwa kile kinachoonekana kuingilia sakata la mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha, akionekana zaidi kumtetea Flora.
Mtangazaji anayedili zaidi na mambo ya haki za wanawake Bongo, Joyce Kiria.
Mmoja wa watoa maoni katika mtandao wake aliandika: “Joyce acha kujidhalilisha, huoni kama unapoteza utu wako? Naanza kuamini kuwa na wewe ni miongoni mwa wasioheshimu ndoa zao kutokana na kuwashauri wenzako upumbavu!
“Kwa mantiki hiyo hustahili hata kuwepo kwenye Kipindi cha Wanawake Live, ikiwa unatetea upumbavu. Acha kuingilia mambo yaliyopo mahakamani, utapoteza mashabiki wako bure.”
Licha ya kunangwa kwa maneno makali mara kwa mara, Joyce ameendelea kuandika kila wakati kuhusiana na ishu hiyo, akionyesha hisia zake waziwazi kuwa yupo upande wa Flora jambo ambalo limepingwa vikali na wachangiaji walio wengi, wakimtaka asijadili suala lililopo mahakamani.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top