Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JOHARI ACHEKWA KUPORWA BWANAKE ‘RAY’

 

 
Msanii mkongwe wa filamu Bongo Blandina Chagula ‘Johari’

WASANII wa filamu Bongo, waliokuwa katika kamati
maalum iliyoundwa na Mwenyekiti wa Bongo Movie 
Unity Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ya kukabidhiwa 
ukamanda wa vijana, juzi walimcheka mwenzao, 
Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kunyang’anywa bwana.




Tukio hilo lilitokea juzi maeneo ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambapo wenzake walimcheka kutokana na aliyekuwa mpenziwe, Vicent Kigosi ‘Ray’ kuporwa na mwigizaji mwenzake, Chuchu Hans.
“Niachieni Johari wangu jamani, mnamkerakera kila wakati hadi anakosa amani kwani wanaume wameisha atapata mwingine” alisikika Steve Nyerere akimfariji msanii huyo mkongwe ambaye aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ray.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top