Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAYA NDIO MAHABA NIUE YA UKWELI .... MSHABIKI MTOTO MDOGO AMLILIA NEYMAR LIVE BAADA YA KUUMIZWA KIWANJANI

 


dogo
Ukizungumzia taifa ambalo limetoa mastar kadhaa wa soka Duniani hutoacha kulitaja Brazil hii ni kufuatia rekodi zake kadhaa ambazo limewahi kujiwekea kwenye medali ya soka duniani leo limeingia kwa headline tena taifa hili.Ni kuhusu mtoto mdogo amabye kwa kumtazama anaweza kuwa na umri usiozidi miaka 3,amekua ni miongoni kati ya walioumizwa na taarifa za kidaktari zinazomhusu mchezaji Neymar kuwa hatocheza mechi nyingine za Kombe la Dunia.

n
Kama unakumbuka Neymar alipata majeraha baada ya kuumia kwenye mechi iliyochezwa kati ya Brazil na Colombia na katika mechi hiyo Brazil ilifanikiwa kushinda goli 2-1 na kufanikiwa kuingia nusu Fainali.
nnnn
July 08 Brazil ambao kimsingi ndio wenyeji wa mashindano haya ya kombe la dunia itacheza na Ujeruman,mchezo utakaochezwa bila Neymar katika mechi ya Nusu Fainali.
 
 

ANGALIA VIDEO MTOTO SHABIKI WA NEYMER AKILIA MARA BAADA YA MCHEZAJI HUYO KUUMIA

 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top