Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MCHEZAJI WA AZAM FC FRANK DOMAYO AFANYIWA UPASUAJI


Daktari wa timu ya Azam Fc akitoa maelekezo kwa Katibu mkuu Nassoro Idrisa juu ya mchezaji Frank Domayo ambaye amerejea kutoka Afrika ya kusini Baada ya kufanyiwa Opereshen ya Msuli wa paja.
Katibu mkuu aliambatana na baadhi ya wadau wa Azam Fc walipomtembelea na Kumjulia hali Frank DomayoFrank Domayo kwa sasa yupo kambini chamazi Complex


Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top