Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HUYU NDIYE RAIS TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI



Anajulikana kwa jina la Vladimir Putin (Carlos Slim Helu) rais wa Urusi mwenye utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani $69 billion, anamiliki magari ya kifahari pamoja na nyumba za bei ghali zikiwemo hata ndege binafsi na yatch zifuatazo ni mali anazomiliki pamoja na manyumba na magari na vitu vyenye thamani


Ana nyumba zaidi ya 20 katika maeneo tofauti ikiwamo moja yenye thamani ya shilingi $950 millioni za kimarekani
Ana ndege 58 zote zikiwa ni mali zake binafsii picha hizi hapa




Ndani ya ndege hizo 58 kuna 15 helicopterszingine zilizobaki ni ndege 43


Na hizo ni moja ya magari anayomiliki yakiwa na thamani ya hali ya juu katika soko la dunia upande wa magarii
Pia ana Yacht 4




Ndani ya hizi yatch kuna kila kitu hadi swiming pool






Msahara wa Raisi wa Russia wenye thamni ya $115,000 dola za kimarekani, ambayo ni sawa na mara sita ya saa anayomiliki tajiri huyu yenye thamani ya dola za kimarekani $700,000.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top