Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KUTANA NA WACHEZAJI 10 MATAJIRI ZAIDI DUNIANI WANAOCHEZA KOMBE LA DUNIA MWAKA HUU 2014.

 



Hii ni list ya wachezaji matajiri zaidi duniania mabao wapo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania kombe la dunia kule nchini bazili 




10. Gianluigi Buffon timu yake ya taifa ni  Italy anautajiri wa dola za kimarekani  $50 million  





9. Fernando Torres anaichezea Spain anautajiri wa dola za kimarekani $50 million 


 


8. Steven Gerrard ni kiungo wa  England ana utajiri wenye thamani ya dola za kimarekani $55 million  






  7. Frank Lampard anaichezea timu ya England anautajiri wenye thamani ya dola za kimarekani  $60 million 





6. Yaya Toure timu yake ya taifa ni Ivory Coast ana utajiri wa dola za kimarekani $70 million 


 


5. Samuel Eto’o timu yake ya taifa ni Cameroon ana utajiri wa dola za kimarekani  $75 million  






4. Didier Drogba anaichezea Ivory Coast ana utajiri wa dola za kimarekani  $90 million 

 




3. Wayne Rooney anaichezea  England akiwa na utajiri wa dola za kimarekani  $95 million  





2. Lionel Messi timu yake ya taifa ni  Argentina anautajiri wenye thamani ya dola za kimarekani $180 million  






1. Cristiano Ronaldo timu yake ya taifa ni  Portugal — anautajiri wa dola za kimarekani  $230 Million  



Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top