Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DIAMOND THE PLATNUMZ ATOA SABABU ZA YEYE ZA KWANIN HAKUPANDA JUKWAANI KWENYE TUZO ZA BET AWARDS BAADA YA DAVIDO KUWAITA


WALIOKUWA WANAJIULIZA KWANINI DIAMOND HAKUPANDA JUKWAANI DAVIDO ALIPOPATA TUZO YA BET??....JIBU HILI HAPA... Kuhusu kwanini Diamond hakupanda jukwaani baada ya Davido kushinda tuzo ya BET na kuwaomba nominees wenzake wa kipengele cha ‘Best

Insternational Act: Africa’ ambacho Diamond alikuwa akiwania pia, wapande nae jukwaani, Tale ametoa sababu: “Zile Tuzo zinarekodiwa before, diamond alikuwa anajua zile tuzo zinakwenda Live, sababu wote hawakuwa wameambiwa zinakwenda live au zinarekodiwa, wote wamelala kwenye hotel moja LA. Wakati wao wanamgongea Davido chumbani kwake alikuwa yuko tayari, Diamond alikuwa anajiandaa jioni ndo anakwenda kwenye hiyo show ya BET. Mwisho wa siku kwasababu wale walikuwa wanaenda na ratiba wakaona tutachelewa….hakujua kama inarekodiwa na wala hakujua kama Davido amechukua tuzo mpaka mimi ndio niliyemwambia”
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top