Mwanadada
Lady Jaydee alimaharufu kama Binti Machozi wa TEAM ANACONDA, leo
ameweka wazi kua tangu alipo anza mziki mpaka sasa baada ya kupata tuzo
ya mwanamziki bora wa kike wa Afrika Mashariki ya Afrimma iliyofanyika
nchini marekani kua ndo tuzo ambayo mpaka sasa imekamilisha idadi ya
jumla ya tuzo thelathini (30) ambazo amezipokea mpaka sasa.
Hili kaweka wazi leo katika ukurasa wake wa facebook. TEAM UKWANZA inapeleka hongera zake kwa mwanadada Lady Jaydee
(Commando) kwa mafanikio makubwa aliyoyapata kutokana na hii tasnia ya muziki, Hongera sana LADY JAYDEE.Picha aliyoweka leo na ujumbe wake
Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi nayo nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya
on Wednesday, July 30, 2014
Post a Comment