Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

LINAH AAMUA KUANIKA SIRI NZITO ZA ALIPOLIPATA MKOKO WAKE MPYAA






Staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ akiwa ndani ya gari lake jipya aina ya Toyota Mark X.
Mafanikio! Taarifa ikufikie kuwa staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ amekanusha stori za madai ya kuhongwa gari jipya analosukuma mjini kwa sasa aina ya Toyota Mark X
Akizungumza na mwanahabari wetu, Linah ambaye hivi karibuni alitokea nchini Afrika Kusini kufanya video ya wimbo wake mpya alisema mkoko huo amepewa na kampuni anayofanya nayo kazi ya NFZ. 

“Nani kasema nimehongwa gari? Siwezi kuhongwa gari kwani najituma sana kwenye kazi yangu,” alisema Linah.Mbali na kumiliki ndinga hilo, miezi kadhaa iliyopita aliwajengea nyumba wazazi wake na sasa anajenga ya kwake.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top