Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MWANA WA MFALME WA JAPAN PRINCE AKISHINO AFURAIA NGOMA ZA KIMASAI,NA WA BARBAIG

japan 1
Mwana wa mfalme wa Japan Prince Fumihito Akishino na mkewe Kiko,
wakifurahia ngoma za makabila la Watatoga (Barbaig) na ile ya Wamasai,
katika eneo la mlango wa Loduare kwenye hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro,
pamoja nao wapo pia maafisa wa mamlaka hiyo, Bruno Kawasange na Adam Akyoo
pamoja na Mkuu wa wilaya ya Karatu, Felix Daudi Ntibenda.
japan 2​Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo
kuhusu shughuli za uhifadhi ndani ya mamlaka hiyo katika kutuo cha habari
cha Loduare Gate,Picha na Gladness Mushi, Arusha

japan 3​Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo
kuhusu shughuli za uhifadhi ndani ya mamlaka hiyo katika kutuo cha habari
cha Loduare Gate,(Picha na Gladness Mushi, Arusha)
Japan 4​Mwana huyo wa mfalme wa Japan akipewa maelezo
kuhusu shughuli za uhifadhi ndani ya mamlaka hiyo katika kutuo cha habari
cha Loduare Gate,Picha na Gladness Mushi, Arusha
japan 5​ Mwana huyo wa mfalme wa Japan akiondoka baada ya kushuhudia noma za asili za watu wa Arusha na kupata maelezo kuhusu shughuli za uhifadhi ndani ya mamlaka hiyo katika kutuo cha habari
cha Loduare Gate,Picha na Gladness Mushi, Arusha
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top