JAJA AKIWA NA KIZUGUTO NA BHINDA BAADA YA KUTUA JNIA. |
Mshambuliaji mpya wa Yanga, Geilson Santos Santana 'Jaja' raia wa Brazil tayari ametua nchini kwa ajili ya kujiunga na Yanga.
Jaja anatarajia kumalizia mazungumzo na kesho atasaini mkataba na Yanga.
Mshambuliaji
huyo ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA) na kupokelewa na Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto.
Post a Comment