Mkuu wa shule hiyo, Simon Milobo, akifurahia zawadi hizo. Kushoto ni Kajala Masanja.
Milobo akiwapanga wanafunzi wake.
Paula akikata keki.
Milobo akitoa usia kwa Paula.
Kajala akizungumza jambo katika shule hiyo ya watoto walemavu.
Waigizaji Odama, Chuchu Hans na Kajala wakijadili jambo.
Paula na mama yake wakiandaa zawadi.
Watoto walemavu wakilishwa keki na Paula.
Quick Racka akiwa na Steven Nyerere.
Wanafunzi wakiimba na wasanii.
Watoto walemavu wakionesha vipaji vyao.
Mwandishi wa Global Publishers, Imelda Mtema akiwa na Steve Nyerere.
Kibao cha Shule ya Msingi Sinza ilipofanyika sherehe hiyo.
MSANII wa
filamu na Mkurugenzi wa K. Entertainment, Kajala Masanja mchana huu
amemfanyia mwanaye, Paula Paul, sherehe ya kuzaliwa kwake (bethidei)
katika shule ya watoto wenye mtindio wa ubongo wa akili iliyoko Sinza,
jijini Dar es Salaam.
Post a Comment