Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa filamu na muziki
kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa
Tanzania. Wasanii hao ni na Terrence J.
Jenkins, mwendeshaji wa kipindi cha muziki
kwenye televisheni ya E! Entertainment (wa pili kulia) Chaka Zulu,
Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace
Records (wa pili kushoto) na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki,
mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo
maarufu ya Gram
Post a Comment