Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (katikati) akimfafanulia
jambo Mwakilishi Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC)
katika nchi za Djibouti, Kenya na Tanzania, Thierry Meyrat (wapili
kulia) wakati Mkuu huyo pamoja na ujumbe wake walipomtembelea Waziri
Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo
,
kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya kamati hiyo na
Wizara. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke.
Kushoto ni Profesa Umesh Kadam, Mwanasheria ICRC katika kanda hiyo na
Martha Kassele, Ofisa wa Program ICRC. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwakilishi
Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) katika nchi za
Djibouti, Kenya na Tanzania, Thierry Meyrat (kulia) akimfafanulia jambo
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Mwakilishi huyo
alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo,
kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya kamati hiyo na
Wizara. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimshukuru
Mwakilishi Mkuu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) katika
nchi ya Djibouti, Kenya na Tanzania, Thierry Meyrat kwa kumtembelea
ofisini kwake na kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
wizara yake na ICRC. Kulia aliyekaa ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya
Wakimbizi, Harrison Mseke. Kushoto ni Profesa Umesh Kadam, Mwanasheria
ICRC katika kanda hiyo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Post a Comment