Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

NAIBU WAZIRI WA HABARI VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO MHESHIMIWA JUMA NKAMIA ATEMBELEA TBC

IMG_4166 nkamiaIMG_4306 nkamiaNaibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia kushoto  akiteta jambo na Baadhi ya Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania mara baada ya mkutano wa siku moja baina yake na Watumishi wa Shirika hilo

IMG_4131-nkamiaMkurugenzi  Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania Bwana Clement  Mshana aliyesimama wa kwanza kulia akitoa neno la Shukrani kwa niaba ya Watumishi mara baada ya Mheshimiwa Naibu Waziri kuongea na Watumishi wa Shirika hiloIMG_4166 nkamiaNaibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia  (Aliyesimama Katikati) akiongea na Watumishi wa  Shirika la Utangazaji la Taifa hawapo Pichani jana katika ziara ya siku moja ambapo  aliwasihi kufanya kazi kwa Bidii na kuwa wabunifu.Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Bwana Clement Mshana na Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bwana Assah MwambeneIMG_4181 nkamiaWatumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania wakimsilikiza Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mheshimiwa Juma Nkamia alipofanya ziara ya siku moja katika Shirika hilo jana jijini Dar es Salaam

Picha zote na Benjamini Sawe kutoka Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHVUM
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top