Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

"ORIGINAL COMEDY" WAGEUKA WAHUDUMU SABASABA LIVE YAANI


Maonesho ya 38 ya sabasaba yanaendelea katika eneo la Sabasaba, Dar es Salaam. Makampuni, vikundi na watu mbalimbali wamefika kwa wingi kuonesha bidhaa zao kwa mtindo utakaowawezesha kuwa karibu zaidi na wateja wao.
 
Kundi la Ucheshi la ‘Original Comedy’ linaloundwa na wachekeshaji kama Joti, Masanja Mkandamizaji, Wakuvanga, Mpoki na Mack Regani limeanzisha mgahawa halisi kwenye maonesho hayo ambapo wasanii wa kundi hilo ndio wahudumu.
 
Wakizungumza na paparazi, wasanii wa kundi hilo wamesema kuwa wamefanya hivyo kwa lengo la kuonesha biashara yao, kuwa karibu zaidi na mashabiki wao na kwamba wanaendelea kuwahudumia na kupiga nao picha kwa muda wote watakaokuwa katika maonesho hayo.
 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top