Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PICHA 9 ZA MARIO BALOTELLI AKILA RAHA DUNIANI NA MPENZI WAKE

 


Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Italia na Klabu ya AC Milan, Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha mjini Miami.
Mario Balotelli akiogelea na mpenzi wake Fanny Neguesha huku wakifurahia jambo.
Mahaba Niue! Baloteli na Fanny wakiendelea kula raha kwenye fukwe za Miami.
...Wakiendelea kuogelea pamoja na kucheza ndani ya maji.
Balotelli akikumbatiana na mpenzi wake Fanny ndani ya maji.
Balotelli akiwa amembeba mpenzi wake.
...Wakitoka kuogelea.
Wakitizama kitu (hakipo pichani) huku wakitabasamu.
Balotelli akivuta sigara akiwa katika hoteli ya Balcony.
PICHA ZOTE NA DAILYMAILY
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top