Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya
riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye
Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.

Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi
wa timu ya Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda
Glasgow, Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi
iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe,
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na
wadau wa michezo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wachezaji na viongozi wa timu ya
Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow,
Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi
iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe,
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na
wadau wa michezo.
Wakimsikiliza
kwa makini Rais Kikwete ni wachezajina viongozi wa timu ya Taifa ya
riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland, kwenye
Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika uwanja wa
Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa michezo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya Taifa
ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland,
kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya kukabidhi
bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa
na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand
Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma
Nkamia na wadau wa michezo.
PICHA NA IKULU
Post a Comment