Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiongea na wasanii nyota wa filamu na muziki kutoka
Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa
Tanzania. Wasanii hao ni na Terrence J. Jenkins, mwendeshaji wa
kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment (wa pili
kulia) Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya
Disturbing The Peace Records (wa pili kushoto) na Davis Banner, mwigizaji,
mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda
tuzo maarufu ya Grammy.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia simu yake ya mkononi kuwaonesha
vivutio vya kitalii wasanii nyota wa muziki na filamu wa Kimarekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa
mafunzo kwa wasanii wa Tanzania. Wasanii hao ni Terrence
J. (Jenkins), mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E!
Entertainment, mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton,
Mtendaji wa Shughuli za Muziki katika Kampuni ya Outlet Media
Group. Wengine ni Chaka Zulu, Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka
Kampuni ya Disturbing The Peace Records na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki,
mtunzi na msimamizi wa shughuli za muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu
ya Grammy.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na
wasanii nyota wa muziki na filamu kutoka Marekani walioko nchini kwa ziara ya kutoa mafunzo kwa wasanii wa
Tanzania. Wasanii hao ni Terrence J. (Jenkins),
mwendeshaji wa kipindi cha muziki kwenye televisheni ya E! Entertainment,
mwigizaji wa filamu na mtunzi wa vitabu na Revi Shelton, Mtendaji wa Shughuli
za Muziki katika Kampuni ya Outlet Media Group. Wengine ni Chaka Zulu,
Mtendaji wa Shughuli za Muziki kutoka Kampuni ya Disturbing The Peace Records
na Davis Banner, mwigizaji, mwanamuziki, mtunzi na msimamizi wa shughuli za
muziki ambaye amepata kushinda tuzo maarufu ya Grammy.PICHA NA IKULU.
wakiwa katika picha ya Pamoja
Post a Comment