Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akimkaribisha Balozi
wa Marekani nchini, Mark Childress, ofisini kwake jijini Dar es Salaam
leo. Waziri Chikawe na Balozi huyo walizungumza masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Balozi
wa Marekani nchini, Mark Childress (kulia) akimfafanulia jambo Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe wakati Balozi huyo
alipomtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo,
kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Ubalozi wa Marekani
na Wizara. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akizungumza na
Balozi wa Marekani nchini, Mark Childress kuhusu masuala mbalimbali ya
ushirikiano kati ya Wizara yake na Ofisi ya Balozi huyo nchini. Balozi
Childress alimtembelea Waziri Chikawe ofisini kwake jijini Dar es Salaam
leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Post a Comment