![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzntAboQam_UGl4QVeBIpJ-coFCc1mnU4JVwdDtNwiodGcl7km-RTAPOHdPoM2_1fibEk1Sn4RBl5Kto1v47zS1VlXLNZBYJyI-yiNhxfNHwf5y0ge-9KYjKXTC0AiqUX90SD-45ShpFQ/s1600/PIX01.jpg)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo
jijini Dar es Salaam.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqLCIFubo2DKj4IbkjL479nbd_Hhj5JMzCLSgicNT47axsTuHpPm2Fb60_g0Z30sgKl5xxrDkR7m1X1-9jnP1-2ShTgUbABoKITMBN7DPHWk1f4XmOHuwbmihTY8F0qfUFZ3pjSDyBtx8/s1600/PIX02.jpg)
Jaji
Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Shaban Ally Lila
(kulia) akitia saini hati ya Kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati
wa hafla ya kuapishwa kwake leo jijini Dar es Salaam. Katikati mwenye
miwani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akishuhudia tukio hilo.
miwani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akishuhudia tukio hilo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifpwVuJQVMnFQjKJKwqRlgZeKmdKnBBF7W78KSorzgV2xc9Y0GOcTlox8-jJWfyUbXrYpBkDsv2UP28xzyZFUU378MNjvJSQqW0hBgT4vSCvdqqYawm0EPErK_KaH9_THmfGDJjDo1RVs/s1600/PIX03.jpg)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka saini hati ya Kiapo cha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya
Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila wakati wa hafla ya kuapishwa kwa jaji
huyo leo jijini Dar es Salaam.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiOfwHuGMaSOAHmlfVSrF7yF806SahQDg42Yb8njjkWCK7HiI70ltqDsEG8SCWha87lKSTgUsxQIHzmKSNazIc8r6pR_XbuubxqPJ-aZA6MUHSzT7LETIKbZYoIpdufi9e9oN3T5cd-knM/s1600/PIX04.jpg)
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akimkabidhi hati ya Kiapo Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania Mhe.
Shaban Ally Lila wakati wa hafla ya kuapishwa kwa jaji huyo leo jijini
Dar es Salaam.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixBgPGgO1-jkvKr50zDrr8bGHGNrI24T7z1xVHI9xH-Sc8434WR8O4UisEBMgfTinOkkHOqgN7zNTtArClTaqhoZd28w2hCAj0HVN4sJnuncR6_vROJhIAlUKlUqk2AiMc7bjksIyM1HA/s1600/PIX05.jpg)
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(kushoto) akimpongeza Jaji Kiongozi wa
Mahakama Kuu Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila mara baada ya kuapishwa
rasmi kushika wadhifa huo katika hafla iliyofanyika Ikulu leo jijini Dar
es Salaam.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVgToH7b50EzfuqAoewwgxeosV5UrPSmadFk7E48hePxye66j8igqkvVMrfoXgrH2A8OBzSuzjrCW48a5RnPAiePKqjnZxA0o8-xR9tpaNaObLGXGiuxlX5dQL4Lsz-nfTBuuaTHlBwTI/s1600/PIX06.jpg)
Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Majaji wa Mahaka Kuu Tanzania mara baada ya kuapishwa rasmi kushika wadhifa huo katika hafla iliyofanyika Ikulu leo jijini Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman.Picha zote na Frank Shija- MAELEZO
Post a Comment