Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SPORTNG LISBON YAWAAMBIA MAN UNITED BILA PAUNDI MILIONI 37 WASAHAU KUMSAJILI WILLIAM CARVALHO

 

In limbo: Manchester United must cough up to capture Portugal star William Carvalho
 Manchester United lazima waguse mfuko kama wanataka kumsajili nyota wa Ureno William Carvalho.
Manchester United imeambiwa kuwa inatatakiwa kulipa paundi milioni 37 kama inataka kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon, William Carvalho. 
Man United wamejaribu kuomba kupunguziwa bei wakati Chelsea nao wameonesha nia ya kutaka kumsajili, lakini klabu hiyo ya Ureno imeonya kuwa haitamuuza kwa bei rahisi.
Attracting interest: Chelsea have also expressed an interest in the sporting star
Anazivutia klabu: Chelsea pia wameeleza kuvutiwa na nyota huyu wa Sporting.
Mkurugenzi wa michezo wa Sporting, Augusto Ignacio alisema: "Sio kama miaka ya nyuma wakati wachezaji wa Sporting walikuwa wanauzwa kwa bei yoyote. Kuvunja mkataba kunaihakikisha Sporting dili kubwa. Nimevutiwa na makubaliano".
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top