Golikipa wa MarekaniTim Howard akiokoa moja ya mipira iliyoelekezwa golini kwake.
Magoli
ya Ubelgiji yamefungwa na K.De Bruyne dakika ya 93 na R.Lukaku dakika
ya 105 wakati goli la kufutia machozi lilifungwa na J.Green dakika ya
107
Mashabiki wa Marekani wakiishangilia timu yao mpaka dakika ya mwisho
on Wednesday, July 2, 2014
Post a Comment