Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi
akihutubia wakati alipokuwa akiyafungua maonesho ya zana za kivita za
nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi
(katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa
majeshi ya Afrika Mashariki, mara baada ya kuyafungua maonesho ya zana
za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, jijini
Dar es Salaam leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies
Mwamunyange.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi
(katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa
majeshi ya Afrika Mashariki pamoja na baadhi ya Maofisa wa Kijeshi wa
nchi mbalimbali za nje, walioshiriki katika maonesho hayo, mara baada ya
kuyafungua, Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kulia
ni Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi
(katikati), akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wakuu na viongozi wa
majeshi ya Afrika Mashariki pamoja na baadhi ya Maofisa wa Kijeshi wa
nchi mbalimbali za nje na Kampuni zinazotengeneza zana na silaha za
kivita, walioshiriki katika maonesho hayo, mara baada ya kuyafungua,
Mlimani City, jijini Dar es Salaam leo. Watatu kulia ni Mkuu wa Majeshi,
Jenerali Davies Mwamunyange.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi
akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya zana za kivita za
nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi
akizungumza na waandishi wa habari katika maonesho ya hayo, Mlimani
City, Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi
akitembelea banda la Afrika Kusini mara baada ya kuyafungua maonesho ya
zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City, Dar
es Salaam leo.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akipata
maelezo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa banda la Afrika Kusini mara
baada ya kuyafungua maonesho ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika
Mashariki 2014, Mlimani City, Dar es Salaam leo.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi
akioneshwa zawadi ambayo alikabidhiwa kwenye banda hilo la Afrika
Kusini.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akipatiwa
maelezo na Meneja Mkuu wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Kampuni ya
ARMSCOR, Lulu Mzili, watengenezaji wa zana za kijeshi ya Afrika Kusini.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akiangalia
kifaru kilichotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania. Kulia kwake
ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Kanali John Nchimbi.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akiangalia
gari la Kijeshi lililotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania.
Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda hicho, Kanali John
Nchimbi.
Waziri
wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi, akisikiliza
maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza zana
za Kijeshi cha Nyumbu cha Tanzania, Kanali John Nchimbi, alipokuwa
akiangalia zana mbalimbali za Kijeshi, mara baada ya kuyafungua maonesho
ya zana za kivita za nchi kavu ya Afrika Mashariki 2014, Mlimani City,
Dar es Salaam leo.
Katibu
Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia),
akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein
Mwinyi.
Katibu
Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia), akiwaleza
jambo Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi
(katikati) na Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto),
wakati waziri alipokuwa akiangalia zana za Kijeshi, zilizotengenezwa na
Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania.
Mkuu
wa Majeshi, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto), akimweleza jambo
Katibu Msaidizi wa Ubalozi wa Uturuki nchini, Berat Colak (kulia),
wakati alipokuwa akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa, Dk. Hussein Mwinyi (katikati), wakati waziri alipokuwa akiangalia
zana za Kijeshi, zilizotengenezwa na Kiwanda cha Nyumbu cha Tanzania.
Kikosi cha Bendi cha Jeshi la Wananchi (JWTZ), kikitumbuiza katika maonesho hayo.
Kifaru
cha Tanzania, kilichotengenezwa na Kampuni ya Nyumbu inayomilikiwa na
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kikiwa kwenye maonesho hayo.
Post a Comment