Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

VITU ADIMU NA MUHIMU HIVIII .... SHINDANO LA WANAWAKE WENYE "BAMBATAA" KUBWA LITAFANYIKA NCHINI

Ni mchague nani na wote ni mambo adimu.

Shindano  la  aina  yake  kwa  akina  dada  wenye  makalio  makubwa  tayari  limewasili  nchini  ambapo  Mpekuzi  wetu  amekutana  na  wanaodai  kuwa  ni  wawakilishi  wa  shindano  lingine  ambalo  hufanyika  kila  mwaka  nchini  Nigeria  ambao  wanahangaikia  vibali  ili  lifanyike  baada  ya  mfungo  mtukufu  wa  Ramadhani  kumalizika.....


Shindano  la  namna  hiyo  limefanyika  hivi  karibuni  nchini  Nigeria  katika  hoteli  ya  Federal  Palace & Casino  ambapo  mshindi  wake  alizawadiwa  gari  la  kisasa....

Mshindi  huyo  bi  Ijeoma Nnaj  alipagawa  baada  ya  kutangazwa  kuwa  ndiye  mshindi  na  kusema  kuwa  japo  amejazia  vya  kutosha  lakini  ushindani  ulikuwa  ni  mkubwa  kiasi  cha  kumtia  wasiwasi....

Wawakilishi  hao  wa  kampuni  ya  Kinigeria  iliyoandaa  shindano  hilo  walisema  wanafanya  mipango  ya  kusajili  kwa  vile  lengo  lao  ni  kulisambaza  shindano  hilo  Afrika  nzima....

Mmoja  wa waandaaji  hao  aliyejitambulisha  kwa  jina  la  Oscar  alisema  wanapata  vikwazo  vingi  katika  mpango  wa  kusajili  lakini  wanakaribia  kurudisha  fomu  walizochukua  kwenye  ofisi  ya  baraza  la  sanaa.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top