Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JACK PATRICK AZIDI KUMTESA JUX..FUNGUKA NAYO HAPA.

Stori: Musa Mateja
MOYO unauma! Staa wa R&B Bongo, Juma Khalid ‘Jux Vuitton’ amekiri kuteswa na ishu ya mwanamitindo Jacqueline Fitzpatric Cliff ‘Jack Patrick’ akiomba asiulizwe habari za modo huyo aliyekuwa mpenzi wake ambaye kwa sasa yupo nyuma ya nondo kwa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ huko Macau, Hong Kong nchini China.

Staa wa R&B Bongo, Juma Khalid ‘Jux Vuitton’
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, jamaa huyo alisema kuwa kwa sasa hapendi kabisa kusikia mtu akimuuliza habari zinazohusiana na mpenzi wake huyo, kwani zinamtoa kwenye ‘mudi’ na badala yake ana mambo mengi ya kuzungumza.
‘Jux Vuitton’ akiwa na Jack Patrick.
“Naomba mtu asiniulize ishu za Jack, zinanitibua na zimeshazungumzwa sana hivyo sioni kipya cha kuzungumzia zaidi ya muziki wangu, kwa sasa nina projekti mpya kibao zinakuja,” alisema Jux anayetamba na ngoma ya Nitasubiri aliyomuimbia Jack.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top