Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI NYALANDU ATEMBELEA IDARA YA UWINDAJI WA KITALII ARUSHA

3Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akisalimiana na Askari Wanyama Pori  jijini Arusha leo.


4Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa  Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini.


6Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akifurahia Keki iliyoandaliwa katika Chuo cha Taifa cha Utalii Arusha.

5Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu(wa nne kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa  Chuo cha Taifa cha Utalii kilichopo Sakina jijini Arusha na  Idara ya Uwindaji wa Kitalii,Cites na Utalii wa Picha Kanda ya Kaskazini.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top