Miongoni
mwa ma rapa wenye sauti ya kipekee Tanzania kwenye list yako hutomkosa
Chid Benzi ambaye mbali na kuwa na sauti ya kipekee pia ni mkali kwa
michano yake.
Hapa kawashirikisha AY na Diamond Platnumz wimbo umerekodiwa studio za Prince Dullysykes na umepata nafasi ya kupitia kwenye mikono ya Tuddy Thomas na Emma The Boy.

Post a Comment