Mkurugenzi
wa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Brigedia
Jenerali Sarah Wambali akisoma risala ya kumkamribisha Mgeni rasmi
katika hafla ya kusherekea miaka 50 ya Jeshi hilo leo jijini Dar es
Salaam, ambapo wanatarajia kutoa misaada ya vyakula na vifaaa
mbalimbali kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wanaoishi katika
mazingira magumu.
Mkurugenzi
wa Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto
Meshack Ndasikoi ambaye ni mgeni rasmi katika hafla ya kusherekea
miaka 50 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania leo jijini Dar es Salaam na
kuzindua wiki ya kusaidia jamii kwa kutoa msaada wa vyakula kwa vituo
vya kulelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu.
Mkurugenzi
wa Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto
Meshack Ndasikoi kushoto, akikabidhi msaada wa chumvi na baadhi
vyakula kwa watoto wa kituo cha Nyumba ya Furaha na Amani cha Mburahati
ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi wiki ya huduma kwa Jamii
inayoendeshwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania leo jijini Dar es
Salaam viwanja vya Lugalo, kulia ni Mkuu wa Utumishi wa Jeshi hilo Meja
Jenerali Vincent Mritaba na Mkurugenzi wa Ustawi wa Jamii Brigedia
Jenerali Sarah Wambali.
Mkurugenzi
wa Ustawi wa Jamii wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania Brigedia Jenerali
Sarah Wambali akisalimiana na watoto wa kituo cha Nyumba ya Furaha na
Amani cha Mburahati baada ya kuwakabidhi msaada ya vyakula katikati ni
mgeni rasmi Mkurugenzi wa Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii
,Jinsia na Watoto Meshack Ndasikoi na kulia ni Mkuu wa Utumishi wa
Jeshi hilo Meja Jenerali Vincent Mritaba leo jijini Dar es Salaam.
Maofisa
wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania pamoja na maafisa Jamii na wananchi
wakifuatilia kwa makini risala ya mgeni rasmi Mkurugenzi wa Jinsia
kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto Meshack
Ndasikoi(hayupo katika picha), wakati wa hafla ya kufungua wiki ya
kusaidia jamii ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 ya Jeshi laWananchi wa
Tanzania leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto
Meshack Ndasikoi(katikati) ambaye ni mgeni ramsi akiwa katika picha ya
pamoja na maofisa wa Jeshi katika hafla ya kuazimisha miaka 50 ya Jeshi
la Wananchi wa Tanzania na kuzindua wiki ya jamii pamoja na kutoa
msaada wa vyakula kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wale wanaoishi
katika mazingira magumu, leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Jinsia kutoka Wizara ya Maendeleao ya Jamii ,Jinsia na Watoto
Meshack Ndasikoi(katikati) ambaye ni mgeni rasmi akiwa katika picha ya
pamoja na maofisa wa Jamii katika hafla ya kuazimisha miaka 50 ya Jeshi
la Wananchi wa Tanzania na kuzindua wiki ya jamii pamoja na kutoa
msaada wa vyakula kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wale wanaoishi
katika mazingira magumu, leo jijini Dar es Salaam. Picha na Lorietha Laurence Maelezo.
Post a Comment