Kiungo wa Manchester City, David Silva akiifungia timu yake bao la kwanza katika dakika ya 39.
Sergio Aguero akitupia kambani bao la pili la Manchester City katika dakika ya 90.
MABINGWA
watetezi wa Ligi Kuu ya England 'Premiership', Manchester City leo
wameanza vizuri msimu mpya kwa kutoa kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya
Newcastle. Mabao ya mabingwa hao yamewekwa kimiani na David Silva dakika
ya 39 na Sergio Aguero dakika ya 90 katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja
wa St James' Park nchini
Post a Comment